Africa Jobs-Market
Africa Jobs-Market
🌍 Kazi na Soko karibu nawe, Afrika nzima
2

👷 Natafuta Kazi

Watu wanaotafuta kazi hadharani. Waajiri wanaweza kuwasiliana nao moja kwa moja.

  • H

    Hamisi K. ★ 4.6

    Fundi rangi na gypsum

    Uzoefu wa miaka 6. Nina vifaa vyangu.

    Ubungo, Dar es Salaam🧱 Ujenzi
  • N

    Neema M. ★ 4.8

    Mpishi / Kazi za nyumbani

    Mwaminifu, napenda watoto. Nipo tayari kuanza kesho.

    Arumeru, Arusha🏠 Kazi za Nyumbani
  • B

    Baraka J. ★ 4.2

    Dereva leseni Class C

    Nimeendesha daladala miaka 4. Najua njia za Mbeya–Tunduma.

    Mbeya Mjini, Mbeya🛵 Udereva / Bodaboda